Kamwene Festival Kamwene Festival

Utamaduni · Michezo · Utalii · Burudani

Kamwene Festival 2026

27 & 28 Novemba 2026 Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mkwawa, Iringa

Siku mbili za maonyesho ya utamaduni, mbio, michezo na burudani katikati ya Iringa. Jisajili mtandaoni, lipa kwa simu, na uchukue kit yako siku ya tukio.

Mnara wa saa katikati ya mji wa Iringa
Iringa

Ratiba

Siku ya Kwanza — Ijumaa 27 Novemba

Maonyesho ya vitu vya mila na utamaduni, pamoja na mabanda ya biashara ndogo ndogo.

Siku ya Pili — Jumamosi 28 Novemba

Mbio za km 1.5 (watoto), km 5, km 10 na km 21 (nusu marathon), michezo mbalimbali na burudani.

Fomu ya usajili

Jaza taarifa zako. Baada ya kutuma, utapewa namba ya kumbukumbu na maelekezo ya malipo.

1Chagua umbali wa mbio
2Taarifa zako
Hapa ndipo tutatuma ombi la malipo na tiketi yako.
Tutakutumia maelekezo ya malipo na uthibitisho.
3Fulana na idadi
Saizi ya fulana
Fulana ipo kwenye kifurushi chako.
Unaweza kusajili hadi watu 10 kwa mpigo.
Jumla ya malipo TZS 0

Hakuna malipo sasa hivi — utalipa kwa simu yako kwenye ukurasa unaofuata.

Inavyofanyika

  1. Jaza fomu hapo juu na upate namba yako ya kumbukumbu.
  2. Lipa kwa simu yako — tutakutumia ombi, weka PIN yako tu.
  3. Pata tiketi yako yenye QR. Ionyeshe siku ya tukio kuchukua kit yako.
Jisajili sasa →